Ufafanuzi wa mkunyati katika Kiswahili

mkunyati

nominoPlural mikunyati

  • 1

    mti mrefu unaojishika au kung’ang’ania kwa mwingine.

Matamshi

mkunyati

/mkuɲati/