Ufafanuzi wa mkuo katika Kiswahili

mkuo

nominoPlural mikuo

 • 1

  kipande cha mraba kama sabuni au madini k.v. fedha, dhahabu au shaba chenye umbo la mstatili.

  ‘Mkuo wa fedha’
  ‘Mkuo wa shaba’
  ‘Mkuo wa sabuni’
  mche, mkando

Matamshi

mkuo

/mkuwɔ/