Ufafanuzi wa mkupi katika Kiswahili

mkupi

nomino

  • 1

    samaki wa jamii ya kowana mwenye rangi ya manjano anayependa kukaa karibu na sehemu za mito na mikono ya bahari.

Matamshi

mkupi

/mkupi/