Ufafanuzi wa mkure katika Kiswahili

mkure

nominoPlural mikure

  • 1

    samaki mwembamba mrefu mwenye kichwa kirefu na mdomo uliochongoka, ana rangi nyeusi na ya kijivu mgongoni.

Matamshi

mkure

/mkurɛ/