Ufafanuzi wa mkuruba katika Kiswahili

mkuruba

nominoPlural mikuruba

  • 1

    hali ya kukaribiana au kuwa karibukaribu.

    ‘Nyumba zenu zimekaa mkuruba’

Matamshi

mkuruba

/mkuruba/