Ufafanuzi wa mkururo katika Kiswahili

mkururo

nominoPlural mikururo

  • 1

    mfuatano wa vitu au watu mmoja baada ya mwingine.

    msururu, mlolongo, foleni

Matamshi

mkururo

/mkururɔ/