Ufafanuzi wa mkuruzo katika Kiswahili

mkuruzo

nominoPlural mikuruzo

  • 1

    kamba au uzi unaotiwa katika sehemu ya nguo iliyopindwa k.v. kiunoni au shingoni ili kukazia wakati wa kuvaa.

    ‘Suruali ya mkuruzo’

Matamshi

mkuruzo

/mkuruzɔ/