Ufafanuzi wa mkusi katika Kiswahili

mkusi

nominoPlural mikusi

  • 1

    mkia wa kuku au ndege.

    msusu

Matamshi

mkusi

/mkusi/