Ufafanuzi wa mkutano katika Kiswahili

mkutano

nominoPlural mikutano

  • 1

    mkusanyiko wa watu kwa ajili ya kujadiliana jambo maalumu au kusikiliza hotuba.

Matamshi

mkutano

/mkutanɔ/