Ufafanuzi wa mkutuo katika Kiswahili

mkutuo

nominoPlural mikutuo

  • 1

    tendo la kushtua kwa ghafla na kuvuta kwa nguvu.

  • 2

    tendo la kukutua.

Matamshi

mkutuo

/mkutuwɔ/