Ufafanuzi wa mkuu katika Kiswahili

mkuu

nominoPlural wakuu

  • 1

    mtu mwenye madaraka juu ya wengine mahali pa kazi au katika jamii.

    kiongozi

Matamshi

mkuu

/mku:/