Ufafanuzi wa mkwachuro katika Kiswahili

mkwachuro

nominoPlural mkwachuro

  • 1

    ugonjwa wa nazi unaofanya kumbi lake kukunjikakunjika na kuwa gumu.

Matamshi

mkwachuro

/mkwatʃurɔ/