Ufafanuzi wa mkwara katika Kiswahili

mkwara

nomino

  • 1

    mti ambao kuni zake huwaka vizuri, pia hutumika kutengenezea fimbo.

Matamshi

mkwara

/mkwara/