Ufafanuzi wa mkwasi katika Kiswahili

mkwasi

nominoPlural wakwasi

  • 1

    mtu mwenye mali nyingi.

    tajiri

  • 2

    mtu mwenye hali njema.

Matamshi

mkwasi

/mkwasi/