Ufafanuzi wa mkwe katika Kiswahili

mkwe

nomino

  • 1

    baba, mama au ndugu wa mzazi wa mke au mume.

    mcheja

Matamshi

mkwe

/mkwɛ/