Ufafanuzi wa mkwezi katika Kiswahili

mkwezi

nominoPlural wakwezi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kupanda miti, agh. minazi, na kuangua nazi.

Matamshi

mkwezi

/mkwɛzi/