Ufafanuzi wa mkwiji katika Kiswahili

mkwiji

nominoPlural mikwiji

  • 1

    kitambaa kinachovaliwa kiunoni kama ukanda kinachotumika kama mfuko wa kuwekea fedha na vitu vingine.

    anjali

Matamshi

mkwiji

/mkwiʄi/