Ufafanuzi wa mkwiro katika Kiswahili

mkwiro

nominoPlural mikwiro

  • 1

    kigongo cha kupigia ngoma.

Matamshi

mkwiro

/mkwirɔ/