Ufafanuzi wa mlaanifu katika Kiswahili

mlaanifu

nominoPlural walaanifu

  • 1

    mtu aliyekosa radhi; mtu mwenye laana.

Asili

Kar

Matamshi

mlaanifu

/mla:nifu/