Ufafanuzi wa mlafi katika Kiswahili

mlafi

nominoPlural walafi

  • 1

    mtu anayekula kwa pupa au bila simile; mtu anayependa kula.

    mmeo, mroho

  • 2

    mtu asiyeweza kuaminika na amana.

Matamshi

mlafi

/mlafi/