Ufafanuzi wa mlalahoi katika Kiswahili

mlalahoi

nominoPlural walalahoi

  • 1

    mtu mwenye maisha duni kutokana na kuwa na kipato kidogo.

    ‘Mlalahoi hawezi kulipa gharama hizo’

Matamshi

mlalahoi

/mlalahoji/