Ufafanuzi wa mlalamishi katika Kiswahili

mlalamishi

nominoPlural walalamishi

  • 1

    mtu asiyeridhika na jambo kwa mara moja bila ya hoja.

  • 2

    mtu asiyekubali kushindwa katika michezo.

Matamshi

mlalamishi

/mlalami∫i/