Ufafanuzi wa mlangamia katika Kiswahili

mlangamia

nominoPlural milangamia

  • 1

    mmea wa ukambaa usio na majani na una tunda kama changarawe ndogo, hujivingirisha na kutambaa kwenye mimea mingine.

Matamshi

mlangamia

/mlangamija/