Ufafanuzi wa mlangilangi katika Kiswahili

mlangilangi

nomino

  • 1

    mti mrefu wenye maua ya manjano yenye harufu nzuri yatumiwayo na wanawake wa Kiswahili, agh. kwa kutungia vikuba.

Matamshi

mlangilangi

/mlangilangi/