Ufafanuzi wa mlango wa fahamu katika Kiswahili

mlango wa fahamu

  • 1

    mfumo katika utendaji kazi wa viungo muhimu katika mwili wa binadamu k.v. kusikia au kuona.