Ufafanuzi wa mlanguzi katika Kiswahili

mlanguzi

nominoPlural walanguzi

  • 1

    mtu anayenunua bidhaa, agh. kutoka kwa wakulima, kwa bei rahisi na kuwauzia wengine kwa bei ghali ili kupata faida kubwa.

  • 2

    mfanyabiashara wa mnadani.

  • 3

    mtu anayefanya biashara isiyo halali.

Matamshi

mlanguzi

/mlanguzi/