Ufafanuzi wa mlariba katika Kiswahili

mlariba

nominoPlural walariba

  • 1

    mtu anayetoza riba kwa huduma anazotoa.

Asili

Kar

Matamshi

mlariba

/mlariba/