Ufafanuzi wa mlau katika Kiswahili

mlau

nominoPlural walau

  • 1

    kiongozi rasmi wa msafara na mjumuiko wa wanataaluma kwenye mahafali ya chuo kikuu.

Matamshi

mlau

/mlawu/