Ufafanuzi wa mlemavu katika Kiswahili

mlemavu

nominoPlural walemavu

  • 1

    mtu aliye na hitilafu katika kimojawapo cha viungo vyake vya mwili.

Matamshi

mlemavu

/mlɛmavu/