Ufafanuzi wa mlenge katika Kiswahili

mlenge

nominoPlural milenge

  • 1

    mchezo wa kushindana kwa kutupa vijiti vinne vya bua kuelekea kwenye dango.

Matamshi

mlenge

/mlɛngɛ/