Ufafanuzi wa mleo katika Kiswahili

mleo

nominoPlural mileo

kishairi
  • 1

    kishairi mstari wa tatu wa shairi la beti za mistari mitatumitatu.

  • 2

    kishairi mstari wa tatu katika ubeti wa ushairi.

Matamshi

mleo

/mlɛɔ/