nominoPlural mlezi, Plural walezi, Plural milezi
- 1
mtu anayemtunza, kumhudumia na kumfundisha mtoto mpaka akue.
nominoPlural mlezi, Plural walezi, Plural milezi
- 1
kitanda cha pembea anacholalia mtoto.
susu
nominoPlural mlezi, Plural walezi, Plural milezi
- 1
ugonjwa wa kuvimba tezi, hasa shingoni.
halula