Ufafanuzi wa mlia katika Kiswahili

mlia

nomino

  • 1

    alama au mstari kwenye mwili au kitu.

    kitengele, mstari

Matamshi

mlia

/mlija/