Ufafanuzi wa mlima katika Kiswahili

mlima

nominoPlural milima

  • 1

    sehemu ya ardhi iliyoinuka juu sana kuliko sehemu nyingine.

    ‘Mlima Kilimanjaro, mlima Kenya’

Matamshi

mlima

/mlima/