Ufafanuzi wa mlimbiko katika Kiswahili

mlimbiko, limbiko

nominoPlural milimbiko

  • 1

    mkusanyo wa vitu vilivyowekwa kidogokidogo mpaka vikawa vingi.

    ‘Mlimbiko wa pesa’

  • 2

    ungojeaji wa zamu.

    duru

Matamshi

mlimbiko

/mlimbikɔ/