Ufafanuzi wa mlimbolimbo katika Kiswahili

mlimbolimbo

nominoPlural milimbolimbo

  • 1

    mti wenye miba na hutoa utomvu unaonata.

    mchongoma

Matamshi

mlimbolimbo

/mlimbɔlimbɔ/