Ufafanuzi wa mlimwengu katika Kiswahili

mlimwengu

nominoPlural wimwengu

  • 1

    mtu anayeishi katika ulimwengu.

    binadamu

  • 2

    mtu anayeishi na watu vizuri.

Asili

Kar

Matamshi

mlimwengu

/mlimwɛngu/