Ufafanuzi wa mlipu katika Kiswahili

mlipu

nominoPlural milipu

  • 1

    mti mwembamba na mweupe wenye majani madogo na mizizi yake hutumika kuwa ni dawa ya uvimbe.

Matamshi

mlipu

/mlipu/