Ufafanuzi wa mlohasi katika Kiswahili

mlohasi

nominoPlural milohasi

  • 1

    chakula ambacho hakijakamilika; chakula chenye upungufu fulani wa virutubisho.

Matamshi

mlohasi

/mlɔhasi/