Ufafanuzi wa mloto katika Kiswahili

mloto

nominoPlural miloto

  • 1

    mstari wa pili katika ubeti wa shairi.

Matamshi

mloto

/mlɔtɔ/