Ufafanuzi wa mlowezi katika Kiswahili

mlowezi

nomino

  • 1

    mtu aliyehamia katika nchi isiyokuwa yake na kufanya makazi ya kudumu.

    setla

Matamshi

mlowezi

/mlɔwɛzi/