Ufafanuzi msingi wa mlozi katika Kiswahili

: mlozi1mlozi2

mlozi1

nominoPlural milozi, Plural walozi

  • 1

    mti unaozaa lozi ambazo zikibanguliwa huwa na kiini mfano wa njugu au badamu.

    mkungu

Asili

Kar

Matamshi

mlozi

/mlɔzi/

Ufafanuzi msingi wa mlozi katika Kiswahili

: mlozi1mlozi2

mlozi2

nominoPlural milozi, Plural walozi

  • 1

    mtu anayewadhuru wengine kwa kutumia nguvu za uchawi.

    mchawi, mrogi

Matamshi

mlozi

/mlɔzi/