Ufafanuzi wa mlumbaji katika Kiswahili

mlumbaji

nominoPlural walumbaji

  • 1

    mtu aliye hodari wa usemaji katika mashauri au majadiliano.

Matamshi

mlumbaji

/mlumbaʄi/