Ufafanuzi wa mluzi katika Kiswahili

mluzi, mruzi

nominoPlural miluzi

  • 1

    sauti nyembamba ya pumzi inayotoka baina ya midomo miwili iliyochongolewa na kubanwa na kuacha nafasi ndogo.

    mbinja

Matamshi

mluzi

/mluzi/