Ufafanuzi wa mmavimavi katika Kiswahili

mmavimavi

nominoPlural mimavimavi

  • 1

    aina ya mmea utambaao wenye majani yanayonuka kama mavi ya kuku na hutumiwa kuwa ni dawa ya homa kwa watoto wadogo.

Matamshi

mmavimavi

/m mavimavi/