Ufafanuzi wa mmego katika Kiswahili

mmego

nomino

  • 1

    tendo la kumega au kukata kwa mkono au meno.

  • 2

    sehemu iliyokatwa au kumegwa kwa mkono au meno.

Matamshi

mmego

/m mɛgɔ/