Ufafanuzi wa mmomonyoko katika Kiswahili

mmomonyoko

nominoPlural mimomonyoko

  • 1

    hali ya kuvunjika au kumegekamegeka kwa udongo au ardhi kutokana na kutiririka kwa maji, barafu au upepo.

Matamshi

mmomonyoko

/m mɔmɔɲɔkɔ/