Ufafanuzi wa mmung’unye katika Kiswahili

mmung’unye

nomino

  • 1

    mmea jamii ya mboga unaozaa mamung’unye yanayofanana na madodoki.

Matamshi

mmung’unye

/m muŋuɲɛ/