Ufafanuzi wa mmweko katika Kiswahili

mmweko

nominoPlural myweko

  • 1

    mwangaza unaotoka kwa ghafla na kuzimika k.v. mng’ao wa radi.

Matamshi

mmweko

/m mwɛkɔ/