Ufafanuzi wa mnada katika Kiswahili

mnada

nominoPlural minada

  • 1

    uuzaji na ununuzi wa vitu kwa kushindanisha bei hadharani.

Matamshi

mnada

/mnada/